Wednesday, 13 July 2016

LULU ANA MIMBA KWELI? magazetini leo Julia 13 2016.

Mwigizaji wa kike wa filamu zinazojulikana kama Bongo Movie mwenye jina kamili  Elizabeth Michael aliyekuwa chini ya miaka 18 mahamuzi kama Lulu amejikuta safi baada ya kwanza kutumia mapunda Machachu , ndimu limo na udongo. 


Lulu ambaye kwa sasa ni mjamzito kama wasemavyo wakubwa amejikuta matatani wakati akitafakari jina la mwanae....baadaye amejikuta akitaja kumwita Kanumba ikiwa ni mtoto wa kiume. Kwa habari zaidi soma mikasi. 

No comments:

Post a Comment